Habari wanajamvi,
Ningependa kufahamishwa chuo/kituo kinachotoa huduma za mitihani ya
1. CISCO ( CCNA, CCNP na hata CCIE)
2. Linux (LPI exams)
Haswa sehemu wanaporuhusu kufanya mitihani tu huku ukiwa umejisomea mwenyewe nyumbani, na kama wana training pia ni vizuri. Gharama za hizi course zikoje.
Eneo liwe Dar es salaam