Mitihani Migumu Zaidi Duniani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,801
Reaction score
60,648

🌍 Mitihani Migumu Zaidi Duniani​


1. Gaokao huko china​







πŸ‘‰ Kwa nini ni mgumu sana
  • Mamilioni ya wanafunzi hushiriki ili kujipatia nafasi ya kujiunga na vyuo bora
  • Mtihani mmoja unaweza kuamua maisha yako yote
  • Shinikizo kubwa kutoka kwa familia na jamii unaambiwa siku hio inakuwa ni kama siku ya kitaifa hata baadhi ya barabara zinafungwa ili kupunguza kelele



2. IIT_JEE Advanced huko india​







Kwa nini ni mgumu
  • kwanza competition yake ni kubwa mno
  • Maswali magumu sana ya hisabati na fizikia yaani ni mwendo wa ku solve tu hakuna maelezo



3. UPCS civil service examination INDIA​





7

πŸ‘‰ Kwa nini ni mgumu


  • Tuseme huu mtihani ndo kama yetu hii ya sekratirieti ya ajira kwanza kwao unakuwa na masomo mengi (historia, siasa, uchumi n.k.) na pia idadi ya watu inakuwa kubwa
  • Hatua nyingi (mtihani wa maandishi + usaili)



4. Putnam competition Marekani​

huu sasa ni kiboko sana





Kwa nini ni mgumu


  • Maswali ya hesabu ya kiwango cha juu sana
  • Hata wanafunzi bora hupata changamoto kufaulu huu mtihani



5. UCMLE marekani​







πŸ‘‰ Kwa nini ni mgumu
mambo ya medical

  • Inahitaji miaka mingi ya kusoma na ukariri madude haswa
 
Chai.

Ukiona somo fulani gumu ujue wewe ndiye mgumu, umevamia usichoweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…