Kumpata mtu ambaye unamuona anakufaa kuishi nae inahitaji jitihada kwani tumekosa jicho la tatu kumjua nani mkweli wa ukweli na ni nani ni muongo wa ukweli.
Tuchukulie umeshampata mtu huyo tena mmependana haswa na kumuamini haswaaa na kumuona anastahiri kupewa nafasi uliyo mpaka mkawa miongoni mwa walee hakuna ngono bila ndoa.
Muda umepita mnaenda kupima mwenzio ana HIV Positive utafanyaje?