Hardwaycomes
JF-Expert Member
- Dec 26, 2018
- 370
- 494
Mama wa mtoto anafoka hatari...kila dk anapiga simu na mitext ya kukeraaa!Hii mbona rahs tunaanza na mgonjwa kwanza
I' mean no 3.
Anza na tatu upande kuja mojaMama wa mtoto anafoka hatari...kila dk anapiga simu na mitext ya kukeraaa!
Ukianza na Namba tatu inakwenda kufunga milango ya baraka na utaweza kufanikisha hayo mengneMama wa mtoto anafoka hatari...kila dk anapiga simu na mitext ya kukeraaa!
Amina!anza na mgonjwa, mungu atakubarikia yalobaki
Kaka mbona jibu ni rahisi saan. Hapo pitia comment za watu then fanya wengi wape🙏Nina 50,000 tu ghafla nimepokea taarifa tatu zote zinataka pesa, nitoe kwa nani na nimuache nani?
1. Mama mzazi anahitaji pesa aweze kuhudhuria msiba wa mke wa kaka yake
2. Mtoto wangu anatakiwa kulipiwa nauli ya shule (school bus),muda umefika
3. Ninamsomesha mtoto wa kaka yangu (alishafariki) hivyo nilibeba jukumu la kumsomesha kuyajenga maisha yake, anaumwa na amelazwa hana pesa ya matumizi
Nitatue lipi na niache lipi?