Miti ya ajabu!

Mkiambiwa msikate miti hamsikii, yakwenu yatafika vipi hali hii na mnaikata kuni wakati ni midogo
 
Niliwahi kuiona miti kama hiyo nilipokuwa naenda Samunge, kule kwenye bonde la ziwa la Chumvi Natron!! ilikuwa inavutia sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…