Mitego ya mtoto wa kitajiri


acha tu , tunayoyashuhudia huku mtaani ni mazito.....

sehemu zingine vitoto ndiyo vinakomalia wakubwa kabisaa.

wanaume tunatakiwa tubadilike kwakweli , mbaya zaidi unakuta huyo anayelabua ni baba wa mtoto mwingine ni bora hata angekuwa hana mtoto uhisi labda hana machungu kwasababu hana mtoto.
 
kuna uzi upo kule 'Changanyikeni-' kuna mwanadada ameapia hataki mtoto wa kike.

Kwa post yako kuna kitu kimekclick kwa kichwa.

mimi naona bora wa kike tu kwani kufanyiwa hivyo ni mahali pake japo its too early , , , , , ila kwa wa kiume akue kikiume kiume ni changamoto mara mbili kwa dunia ya sasa hivi.
 
1. acha kumfundisha
2. ila wazazi ndio wenye makosa ya kumuacha avae hivyo na kumtafutia tuition ya usiku tena ya kufundishwa pekee yake na mwalimu wa kiume
3. waambie wazazi wake tabia ya mwanao
 
Wazazi wa haka katoto wananiona mimi kama mtoto wao kabisa. Tatizo ni haka katoto hakataki kuniona kama kaka yake, kenyewe kananiona kama mwenzake tu.

Halafu hata nikikafundisha lazima tu kataleta story za mahusiano, na nachokiona kakiwa na wenzake huwa wanaangalia porn movies

afu kanaruhusiwa kuwa nje ya home hadi saa sita????
 
KAka, KAma vipi KAwekee mazingira ya KUkakataza KAsikupe temptation KAma KAnavyokufanyia hako KAtoto KA Kishua
 
kasamehe mkuu maana heshima uliyo nayo kwa familia take ni kubwa kuliko matokeo utapokafumua
 
hata hilo ni somo mkuu, biology reproduction practical, piga mzigo
 

Mdau,katika harakat za kuhangaika na maisha hawa watoto wa kishua na sisi tuliwafundisha,ila huyu atakupeleka JELA, kwanza hawa watoto rahis sana,wewe simamia miiko ya kazi yako, then kama munaona hatar inazid acha hiyo session(NAAMINI UNALIPWA VIZUR,NA HUENDA NI KWA SAA) haijalishi washua watakupoteza,me nahis wewe ni kijana una mipango yako.

Ni hayo tu
 

Siku huzi huwa wanakula WITI ukiwaletea za kuleta....
 
Ushauri wangu mn,mwambie atafute mwenzie"ke,au me"uwafundishe wakiwa wawil,hii itakuondolea mihemko icyo ya lazma,akshndwa mtafute mwenyewe hata kwa kumpro-il tu ufute hayo mazingra ya majarbu.
 
Jf imevamiwa kwa stori za kubuni na utafutaji kiki walazima
 

Bora uache kumfundisha ukose hizo hela za vocha kuliko kukosa uhuru na kwenda jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…