Mitego mahiri ya kunasa warembo

Huyo pengine anakupenda na anatafta ndoa kwa nguvu.Mwingine ukimwambia ivo atakwambia kale mgahawani na chating inaishia hapo
 
Una bahati sana ya kupata hao wadada wa hvyo maana ninawajua mim ukitaka mgombane waambie habari za kupka ukitaka pilau kuku atakuambia twende kwa mudi mapilau au Halima biriani anapika vzr utabakia kula kwa mgahawa akimaliza anasepa zake.
 
Hongera mkuu maendeleo hayana chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…