Mitego mahiri ya kunasa warembo

Sijawahi kucheka nyuzi za humu lkn yako imenichekesha hadi manzi ananiuliza unacheka nini,nimemwambia walimwengu tu
 
Faida yake ni nini hasa
Naomba utujuze na huenda unakula kavu kama chips
Nakula na njumu, faida ake nabadili mboga sio kila siku nile kisamvu wakati mungu katujazia tele ushindwe wewe tu
 
Hahaha hongera na pole at tbe same time. Kwaiyo iyo ndo ilikuwa faida ya kuku. Its better you had been a gigalo since a gigalo is more strategic than you, don't you think? Hahaha I'm bursting your balls!
 
Wanawake wajinga ivyo mnawatoaga wapi mkuu?
 
Jiko la gesi likiwepo ghetto na pesa ya kununulia vyakula vzur vnavyopendwa na watoto Wa kike,knachobak niwew kumshawish apite ghetto au aje akutembelee hata uspopga sku hyo ipo sku atakuja rasmi
 
Jiko la gesi likiwepo ghetto na pesa ya kununulia vyakula vzur vnavyopendwa na watoto Wa kike,knachobak niwew kumshawish apite ghetto au aje akutembelee hata uspopga sku hyo ipo sku atakuja rasmi
Wanapenda maisha ya Bongo movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…