Mitego mahiri ya kunasa warembo

Inaonekana huna ndoto na malengo.
Endeleza huo ufugaji uwe wa tija na faida yake utaiona.
Hakuna aliyefanikiwa hapa duniani kwa kuendekeza starehe tena hasa wanawake.
Utanikumbuka
Acha kumtisha mwenzio hujui dhumuni lake labda hilo ndo lengo lake? Usitake tufanane
 
Upo sahihi mku maliza Mambo ya ujana ukiingia jela umeingia mazima
 
Haina shida mtoa mada akikua, ataacha..
 
Utamaduni ngono bhana!!!!!!!!!! Nawaambia huyu naye hajajua kama na yeye kashachinjwa kwa STD kwa hiyo hili ni swala lenye kuhitaji watu wenye ufahamu na ujuzi ili apate kushaurika. Pole sana kaka. "NGOMA IKIVUMA SANA ........... KUPASUKA." WAJUZI TUNAKUPA POLE. ukiulizwa swali la ufahamu utajibu kwa namna tusiyoijua.
Wanazaliana sana mkuu kama wanajua lengo langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…