mitego hiyo

Wapeni namba zangu, uwiiiiii
 
Waswahili wanasema utabadilisha sana mabucha nyama ni ile ile.......~>😛
 
Vipi iwe mitego....hamuwacheck dadazenu wakitoka nyumbani iweje mnashangaa barabarani
 
Kwa anaejua hili eneo ni wapi? Hii picture nimeshaiona before na source yake ilisema Tabata mara Kinondoni then Ilala kutokana na story za uongo wanazoandika. Je kuna mtu anajua ukweli?
 
Mitego kwa wasioyazoea kama wewe,ila ni kawaida sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyu mwenye pochi nyekundu na mkanda mwekundu jina lake linaanzia na R,anapatikana sana pale karibu na Mango garden Kinondoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…