technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Mitandao yote ya simu kuanzia Vodacom, Airtel, Holotel, Tigo, Zantel na TCCL. Wanatakiwa kushitakiwa kwa kuruhusu mawasiliano yetu kuingiliwa na serikali, muda mwingine wanawapa taarifa za wateja serikali ambao hawana madhara yeyote sio majambazi sio magaidi inakuwaje mitandao inaruhusu kuingiliwa kwa faragha za watu? mtu na mke wake wanaongea eti wanadakuliwa ili iweje kwa faida ya nani?
Mbona hawajifunzi kwa jamii forum inavyotunza siri za wateja wake?
Mbona hawajifunzi kwa jamii forum inavyotunza siri za wateja wake?