Mitandao ya simu wanatuibia, tena Wizi mkubwa, wateja tunajua??

Mitandao ya simu wanatuibia, tena Wizi mkubwa, wateja tunajua??

Baada ya kuwakoromea wamenitumia hii SMS

Ahsante kwa kuwasiliana na Tigo huduma kwa wateja.Ombi lako limeshughulikiwa, Kumbukumbu namba PL120201647.
 
Kuna li mtandao limoja hapa nalifuatilia nyendo zake juu ya pesa zangu,

Kila nikiweka 2000 lazima yachikue asilimia 10%


Na hii nishaongea nao zaidi ya mara kumi hawana majibu ya kueleweka na kizuri zaidi awamu zoote nimekuwa nikirekodi malalamiko yangu juu yao pale ninapowapigia.
Pia kila tarehe na muda wanaponikata huwa naandika tena baadhi ya jumbe zao nazipiga sklini shuti nahifadhi kwenye flash na kwenye sehemu zangu.


Nimesubiri watimize mara mia nikaealipue
 
Hata halotel nao wezi ukiacha hela wanakata 100 kila siku
Kuna siku nililalamika humu. Mie nikieka salio halotel nikapoteza dakika 5 tu wanakata sh 50,ukiiacha unakuta 50 nyingine haipo mpaka usiku wamekata 50 tena,nikakataliwa.
Halotel nao ni wezi kama wezi wengine tu
 
Back
Top Bottom