Mitandao ya simu vijijini.... ndoto au miujiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitandao ya simu vijijini.... ndoto au miujiza

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mpasuajipu, Apr 14, 2011.

 1. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  <TABLE border=0 cellSpacing=0 cellPadding=0 width="100%"><TBODY><TR><TD class=kaziBold vAlign=top align=left></TD></TR><TR><TD vAlign=top align=middle>[​IMG]</TD></TR><TR><TD class=kaziBody vAlign=top align=left>Wakazi wa Kijiji cha Samunge wa kabila la Wasonjo wakifurahia huduma ya mawasiliano ya simu baada ya kampuni ya simu ya Airtel kuzindua mnara wa mawasiliano kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani, Jumanne. (Na Mpigapicha Wetu</TD></TR></TBODY></TABLE>

  Maoni yangu:

  Ni zaidi ya miaka 10 sasa tangu mitandao ya simu za mkononi ianze kufanya kazi hapa Tanzania, lakini maeneo mengi ya vijijini yamebaki nyuma ktk huduma hii muhimu kwa wananchi.

  wakati wakazi wa maeneo ya mjini wakichagua aina ya mtandao wanaotaka, maeneo mengi ya vijijini ama hayana kabisa huduma au yanalazimishwa kutumia mtandao wasiyoipenda ili mradi tu ndio unapatikana huko..

  Hii ni uvunjifu wa haki za binadamu kwa kuwa unalazimishwa kitu ambacho hukipendi.

  Ukosefu wa mitandao vijijini umesababisha hadi sasa wananchi walio wengi wasielewe kitu gani kinaendelea nchini pengine mpka baada ya miezi kadhaa kupita.

  hili linaweza likawa pia linafanywa ki ujanja ujanja ili kuwanyima fursa wananchi wengi wabakie bila taarifa na hivyo kuwatawala kiurahisi.

  imefika wakati sasa kuhakikisha mitandao inaenea pote na siyo kufuata sehemu eti kwa sababu kuna jambo fulani km walivyofanya hawa wenzetu kufuata kikombe cha babu.

  nawasilsha, mwenye masikio na asikie
   
 2. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera babu,bila yeye hata huo mtandao ungekuwa hadithi
   
Loading...