Na kuna apps zinarun backgroundhapo una facebook,tiktok instagram.alafu unaweka bando la buku.hakuna maisha hapo
Angalia vizuriHakuna apps zozote zinaRun background. Nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu nisemacho boss.
Ndio hizi pesa wanazotumia kuhonga makundi mbalimbali ili kumwaga sifa kwa mama. Wanajua wengi tunatumia bila kujua ulaji halisi wa bundle zetu, hivyo wanachota pesa za watumiaji bila hofu.Yamenikuta haya juzi 1.4gb iliisha ndani ya dk 5 na sikuwa nadownload chochote. Yas endeleeni kutumixx.
Airtel wamenitenda kitendo cha namna hii, Gb 1 inaisha chini ya nusu saa Kwa kuperuz jfYamenikuta haya juzi 1.4gb iliisha ndani ya dk 5 na sikuwa nadownload chochote. Yas endeleeni kutumixx.
Gentleman,Ni dhahiri kwa sasa ukiweka bundle linaisha kwa haraka kwenye data, na sababu ni Makampuni ya simu kuibia wateja Mchezo huu umekithiri sana sasa kuelekea uchaguzi.
Ni kosa makampuni ya simu kifanya wizi wa kidola dhidi ya watumiaji
Nina ufahamu wa kutosha kuhusu speed za internet. Sibahatishi nisemacho. Hakuna ufahari wa kuibiwa na kusema hujali kisa utakuwa na fedha nyingi.Gentleman,
ni uelewa na ufahamu mdogo tu wa vifaa mnavyotumia lakini pia uelewa mdogo kuhusu speed za internet, yaani 3g, 4g, 5g nk,
hata hivyo,
ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii kujiepusha na unyonge wa kiuchmi kulalamikia mambo madogo kama haya 🐒
nimeweka bando la 500 tangu asubuh mb 245.nacheza jf,sofa.score na parimatch nimebakiza mb 150Na kuna apps zinarun background
Ni dhahiri kwa sasa ukiweka bundle linaisha kwa haraka kwenye data, na sababu ni Makampuni ya simu kuibia wateja Mchezo huu umekithiri sana sasa kuelekea uchaguzi.
Ni kosa makampuni ya simu kifanya wizi wa kidola dhidi ya watumiaji
Kuna kipindi nilikua naweka bando baada ya dakika 10 limekata nikanya research kwenye simu nkagundua kuna apps zinarun background baada ya kuziturn off mambo yakawa fresh.nimeweka bando la 500 tangu asubuh mb 245.nacheza jf,sofa.score na parimatch nimebakiza mb 150