Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Mitandao hii ya kijamii inaendelea kuwa changamoto kwa rasilimali-watu hususan vijana ambao wengi wetu tumeikumbatia na kuifanya sehemu muhimu na ya ulazima katika maisha yetu. Wapo ambao wamejijengea mtazamo kwamba hawawezi kabisa kuishi bila mitandao hiyo.
Soma zaidi hapa=> Mitandao ya Kijamii ni umaskini kwa Tanzania? | Fikra Pevu