Mitandao Ya Jamii.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Utasikiliza kipindi cha burudani katika vijiradio vyetu hapa nchini na mtangajazi baadae anajifaharisha kwa kusema nitumie ujumbe kwenye mitandao ya jamii kama fb na tweeter. Sasa hapa napata taabu kidogo kuelewa huu mtandao wa jamiiforums hawaujui? Au wanaogopa kusema kuwa wamo.
 
home of great thinkers.-akili ndefundefu
fb mnakumbushana mabweni ya boarding na walimu wanoko japo ndo waliokufikisha hapo ulipo
 
Star TV huwa wanasoma mambo mengi kutoka Jamii Forum saa nyingine wanatumbukiza mada tarajiwa hapa tuijadili kabla ya kipindi
 
Back
Top Bottom