Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,538
- 18,754
Hebu nipe Maujanja bwana mdogoSio hapa tu. Miaka yote mimi na browse bure kabisa
Hebu nipe Maujanja bwana mdogoSio hapa tu. Miaka yote mimi na browse bure kabisa
4GBYenye insta nimeona ni buku 3, sijaitumia kwa sababu siyo mteja insta, ila hiyo ya youtube nilikuwa sijaipata, ngoja nitaicheki.
Ni GB ngapi inakuwa?
Ndo inaandikwa hivyo??
Mkuu, naiomba hiyo itanifaa[emoji39] [emoji39]
Hadi uache kutongoza tongoza mademu zangu wote. Na waombe msamahaHebu nipe Maujanja bwana mdogo
Acha kudanganya watu ww kimtu
Hadi uache kutongoza tongoza mademu zangu wote. Na waombe msamaha
[emoji137] [emoji137] [emoji137] Bundi mwenzanguAcha kudanganya watu ww kimtu
Aah anatudanganya ee!?Acha kudanganya watu ww kimtu
Acha kujipaisha kishamba ni lini nilitongoza mademu wako na ni akina nani hao?Hadi uache kutongoza tongoza mademu zangu wote. Na waombe msamaha
Snapchat1. Youtube
2. Instagram
3. Wassap (groups)
4. Software auto updates
Ongezea nyingine tujue namna ya kupambana na MB 8!
Sikusaidii sasa. NyauAcha kujipaisha kishamba ni lini nilitongoza mademu wako na ni akina nani hao?
Usimsikize huyo mbilikimo. Wewe ni pm namba yako nikupe maelekezo yote whatsappAah anatudanganya ee!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kujipaisha kishamba ni lini nilitongoza mademu wako na ni akina nani hao?
Sikusaidii sasa. Nyau
Mbinu zake hizo za kutongoza ...shauri yako ata usimuulize huyoAah anatudanganya ee!?
Sasa unafaidika ni nini kunisambazia mambo ya uongo?Mbwa mwetu mawindoni
swank jichanganye tu utoe namba ndio Utaelewa kwann kuku hakojoi na anakunywa maji.