Mitandao ambayo imeshafungiwa Tanzania!

Mitandao ambayo imeshafungiwa Tanzania!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
15,880
Reaction score
36,244
Mpaka sasa ni rasmi ukiwa Tanzania huwez ku access mitandao ifuatayo.

1. Jamii forums

2. X(Zamani Twitter)

3. Telegram

4. Clubhouse

5. Site zote za mambo yetu yale!

Sasa ninachojiuliza hawa jamaa zetu wanafunga hii mitandao kwa faida ya nani? Hawa tukiendelea ipo siku watafungia mpaka fb, insta na WhatsApp!

Je kinachoendelea ni uoga tu ama kukosa akili ya kuongoza watu?
 
Kama jamii forum imefungwa hii post umepost kupitia mtandao gani?
 
Back
Top Bottom