Mitandao ambayo imeshafungiwa Tanzania!

Mitandao ambayo imeshafungiwa Tanzania!

Clubhouse inahusika na nini
Ni ukumbi wa mijadala mbalimbali , kwahiyo kuna rooms kule za mijadala ya kisiasa hasa kwa diaspora wa Tanzania ambao siku zote CCM inawaona ni tishio, kule watu wanashusha nondo za kutosha.

Ukiona mtandao wowote umefungiwa fahamu kwamba una asilimia kubwa ya watu waliojitambua na siku zote hawako tayari kupokea hadaa za CCM hivyo mtandao huo ni tishio kwao.
 
Mpaka sasa ni rasmi ukiwa Tanzania huwez ku access mitandao ifuatayo.

1. Jamii forums

2. X(Zamani Twitter)

3. Telegram

4. Clubhouse

5. Site zote za mambo yetu yale!

Sasa ninachojiuliza hawa jamaa zetu wanafunga hii mitandao kwa faida ya nani? Hawa tukiendelea ipo siku watafungia mpaka fb, insta na WhatsApp!

Je kinachoendelea ni uoga tu ama kukosa akili ya kuongoza watu?
Hao walifunga internet nchi nzima ili waibe kura, tunaongozwa na kundi la wajinga watupu
 
[emoji1787][emoji1787] kuna siku alileta shuhuda za Yesu, ila CH ina vituko sana
C.H kuna totoz za moto , ukiwa mbele mbele lazima wakuunge gridii ya taifa bwashee 😁
 
Back
Top Bottom