tatizo watanzania sijui wakoje kuna hatari eneo flani watu bado wanaisogelea awa ndio wale wanachota petroli na diesel kwenye magari yanaoungua hadi kupelekea kupoteza maisha yao hapa nyumbani umeme amna it might be because of that problem.
Hivi wadau niulize kitu tanzania hii baadhi ya viongozi hawana ueledi maana hii ni hatari sanaa kwa watu wanaopita na wanaoishi maeneo ya ubungo takribani watu mia tano nakuendelea hawakosekani maeneo haya ya ubungo je hawaoni kuwa ni hatarii kwa taifa ?
Kuanzia saa 9 usiku mitambo ya Aggreko imeendelea kuungua moto. Sasa hivi saa 11.45 alfajiri ndio magari ya zimamoto yanaingia.Uharibifu inaonekana ni mkubwa sana. Tujiandae kuingia gizani tena.
Hii ni ile mitambo michakavu iliyoletwa na Richmond, ikachukuliwa na Dowans na kuuziwa Symbion? Wajinga ndio waliwao.
Mitambo ya gas ya kuzalishia umeme ktk Grid I ya Taifa maeneo ya Ubungo sasa hvi inavuja na hali si shwari maeneo hayo kwani kuna moshi mkali sana!
Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio!
Moshi mkubwa unaonekana angani maeneo ya UBUNGO, inasemekana ni hitilafu kwenye kinu cha gas.
Taarifa za tahadhari bado hazijatolewa na watu wanazidi kusogea kushangaa moto.
Ni vyema tukajifunza kuchukua tahadhari na kuelekea maeneo salama zaidi kuliko kuelekea eneo la tukio ambalo ni hatari sana kwa usalama.
Mitambo ya gas ya kuzalishia umeme ktk Grid I ya Taifa maeneo ya Ubungo sasa hvi inavuja na hali si shwari maeneo hayo kwani kuna moshi mkali sana!
Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio!
Saa 3 am moto ulianza na 5.45 am ndio fire wanafika???
Hapo bado sijaelewa
Usharudi umeme ths time, ila gas kuvuja ni hatari sana si kwa mitambo tu,hata kwa watu wa karibu.