Gas imewashinda kucontrol kwasababu Watendaji wengi wanauwezo Mdogo na wanapata kazi kupitia migongo ya baba zao ambao ni watumishi wenye nafasi kubwa kwenye serikali dhalimu ya ccm
Kuanzia saa 9 usiku mitambo ya Aggreko imeendelea kuungua moto. Sasa hivi saa 11.45 alfajiri ndio magari ya zimamoto yanaingia.Uharibifu inaonekana ni mkubwa sana. Tujiandae kuingia gizani tena.
Kuanzia saa 9 usiku mitambo ya Aggreko imeendelea kuungua moto. Sasa hivi saa 11.45 alfajiri ndio magari ya zimamoto yanaingia.Uharibifu inaonekana ni mkubwa sana. Tujiandae kuingia gizani tena.
==>> WEEE KIMBIAAAA ACHA MPAKA MIGUUU NA KILA KITU IKIBIDI.....KIFO HICHOOO NI ZAIDI YA BOMB.......
.....get out ur as..s there... ukifika 5 km then andika...
===>> Aisee watu hawajui MOST DANGEROUS thing ni gesi....