Busara haiuzwi mkuu... Kumbuka kuuliza sio ujinga au kuna lililokukera katika post hii ? Sio kila kitu unataka kuchangia hata ukikaa kimya watu wanajua uwepo wako.
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk 2
Kwanini iwashwe? Ni kweli kuna watu wengi sana wameathiriwa na migration kwenda degital lakini hiyo ndiyo gharama ya maendeleo. Mimi nadhani watu wote tuvumiliane tupate hizi shs 40,000 za king'amuzi na sote twende DIGITALHabari wana jamvi ni jumatatu nyingine tulivu watu mbalimbali wakiwa katika mihangaiko ya kujitafutia riziki.swali langu wana jamvi je ni kweli mitambo ya analog kuwashwa tena?
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk 2
Msemaji wa TCRA?Kulingana na ratiba iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano, na Mipangilio ya Kuelekea Dijitali kabla ya Ukomo Wa Analojia tarehe 17 June 2015, hakuna mpango wowote wa kuwasha mitambo ya analojia kwani gharama za kuendesha mifumo yote miwili ni kubwa na hakuna wa kuzigharamia kwenye maeneo ambayo yana dijitali.
Ina maana hujaona kuwa ni verified user!Msemaji wa TCRA?