Mtwero,muhi2Lindi ni Mtanda.
Na siku za hivi kribuni ni kule juu Veta naona kumechangamka sana.
Kwa chato NI MlimaniUmesahau kutaja Chato, umeharibu kabisa. Mji huu kwa sasa ni sample ama blue print ya namna tunavyotaka kuijenga Tanzania [emoji1241] yetu.
Njiro imejaa sio imepitwa na wakati. Na nikisema njiro ni njiro sio sijui dukabovu, mwisho wa lami hapana. Nimekulia Arusha napaelewa.Arusha kwa sasa ni Burka mzee. Njiro imepitwa na wakati.
Mbona nilisikia Kwa Mpalange ni tusi!Kwa Mpalange[emoji3][emoji3]
Buza ipi? Kwa Mpalange!Sisi wa Buza tunacomment wapi?
Kihonda uswahilini kule haupo seriousMorogoro ongezea kihonda Kilimanjaro ya juu
Ivi unapiga sana gambe ??Kisasa % nyingi ni watu wa magetini.
Mie kiukweli nimezoea kuzurura zurura hovyo.
Leo nipo Chako, kesho nipo Royal, keshokutwa Malaika.
Sasa na gambe hizi kila siku nitakuwa nalala njiani.
Afi Airport ni katikati ya mji....umenipata sasa!!
Labda iwambiMBEYA imesahaulika IWAMBI na VETA na UZUNGUNI unless hukutembea hayo maeneo
Hongera mkuuNimeona nyumba yangu hkwenye huu uzi sina neno wakuu.
Tanga ushuani ni raskazone kuleTanga wala Zanzibar huzifahamu we mbara
Kisasa % nyingi ni watu wa magetini.
Mie kiukweli nimezoea kuzurura zurura hovyo.
Leo nipo Chako, kesho nipo Royal, keshokutwa Malaika.
Sasa na gambe hizi kila siku nitakuwa nalala njiani.
Afi Airport ni katikati ya mji....umenipata sasa!!