mkuu utumiaji wa umeme unategemea na vitu vinavyotumia umeme ulivyokua nao, kwa iyo kama kila jengo umeweka unit 5, lakin kama kila jengo litakua na vifaa vinavyotumia umeme sawa,ina maana na matumiz yatakua sawa,na hizo unit zitaisha same time, utofaut wa mita za rea na mita nyingine ni katika ununuzi wa unit, wa mfano ukiwa na elfu 5 ukinunua umeme kwenye mita ya rea utapata unit 41 hivi,wakat katika mita ingine kwa elfu 5 iyo unapata unit 14, sijui kama nimekupa muongozo mkuu