mhhNafikiri kila location ina no zake za mita ili iwe rahisi kugundua udanganyifu na hata kutatua hitkafu za umeme kirahisi. Sasa utoe kimgamuzi cha luku sehem nyingine ulete apo haiwezi kukubalika hata siku moja.
Nafikiri kila location ina no zake za mita ili iwe rahisi kugundua udanganyifu na hata kutatua hitkafu za umeme kirahisi. Sasa utoe kimgamuzi cha luku sehem nyingine ulete apo haiwezi kukubalika hata siku moja.
Kununua umeme, unanunua popote. Tena kwa kutumia simu, utanunua kupitia mitandao yote.Ukifunga mita ya TANESCO hii ya luku kwa mfano mita nimefunga mbezi, alafu nikahama mbezi na mita yangu nikahamia labda magomeni na hiyo mita,nimesikie eti ni hadi nikahamishe location ya mita ili niweze kununulia umeme sehemu niliohamia bila hivyo siwezi pata hiyo huduma kwa hapo nitakapohamia.
Mbona mita iko mkoani tunanunua luku mkoa mwingine inakubali lakini hapa hapa mkommoja wilaya tofauti inaktaa inakuwajeNafikiri kila location ina no zake za mita ili iwe rahisi kugundua udanganyifu na hata kutatua hitkafu za umeme kirahisi. Sasa utoe kimgamuzi cha luku sehem nyingine ulete apo haiwezi kukubalika hata siku moja.
Eheee wee ndio umenielewa sana kwa nini ukihamisha kununua luku kanda uliohamia inagoma.wakati kuna mita ziko mikoani huko luku tunanunulia huku inakubali ndio nataka nijue kwani kama ina2ezekana mita za mikoani tununue umeme mkoa mwingine lakini za hapa kwa hapa zikatae.Kununua umeme, unanunua popote. Tena kwa kutumia simu, utanunua kupitia mitandao yote.
Ila, tujue kuwa, umeme wa Tanesco, huwa umegawanywa kwa kanda. We mteja, unaweza kuhama au kuhamisha hiyo mita kwenda kwenye nyumba yoyote, ndani ya kanda husika. Ukihama kwenye kanda uliopo, huruhusiwi kuihamisha hiyo mita!
Nami ni mteja tu, nimechangia ninachokijua, kwani nishafanya hivyo, yaani kuhamisha mita, na pia kukataliwa kwani nilikuwa nahamia Kanda tofauti, na kushauriwa niombe upya kuunganishiwa.
Vipi hakuna namna naweza kuingiza token nikiwa nimekaa sebuleni/ofisini bila kugusu mita?Ndugu mteja, mita ya TANESCO ikifungwa haiwezi kuhama kutoa eneo moja kwenda eneo jingine. Hii inatokana kuwa mita zote za Shirika zinafungwa kutokana na location ya mita hivyo kuhama ni sawa na mita kuwa imeibwa kutoka sehemu halisi kufungwa sehemu nyingine.
Kuhusu kununua umeme unaweza kununua sehemu yoyote
Nafikiri kila location ina no zake za mita ili iwe rahisi kugundua udanganyifu na hata kutatua hitkafu za umeme kirahisi. Sasa utoe kimgamuzi cha luku sehem nyingine ulete apo haiwezi kukubalika hata siku moja.
Mbona kuna mfanyakazi wenu wa shirika alituambia hivyo lazma tuhamishe location ili tuweze nunua umeme hapo tulipohamia tena akasisitiza kuwa tusipofanya hieti jina linakuwa halipo eneo tùlipo hivyo luku hai tukanunulie tulikohamaNdugu mteja, mita ya TANESCO ikifungwa haiwezi kuhama kutoa eneo moja kwenda eneo jingine. Hii inatokana kuwa mita zote za Shirika zinafungwa kutokana na location ya mita hivyo kuhama ni sawa na mita kuwa imeibwa kutoka sehemu halisi kufungwa sehemu nyingine.
Kuhusu kununua umeme unaweza kununua sehemu yoyote
Ihame kutoka wapi kwenda wapiMbona kuna mfanyakazi wenu wa shirika alituambia hivyo lazma tuhamishe location ili tuweze nunua umeme hapo tulipohamia tena akasisitiza kuwa tusipofanya hieti jina linakuwa halipo eneo tùlipo hivyo luku hai tukanunulie tulikohama
Samahani,mie nilikuwa naomba kufahamishwa kuhusu hizi smart meter.Ihame kutoka wapi kwenda wapi