Miswada ya sheria itakayowasilishwa Bungeni

Miswada ya sheria itakayowasilishwa Bungeni

Nashengena

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
3,140
Reaction score
5,727
Kwa mujibu ya taarifa za bunge miswada ya sheria ifuatayo itawasilishwa katika Mkutano wa Nne wa Bunge la Kumi Moja (11), tarehe 06 hadi 16 Septemba:


(i) Muswada wa Sheria ya Upatikanaji wa Habari wa mwaka 2015(The Accessto Information Bill, 2015),

(ii) Muswada wa Sheria ya Utathimini na Usajili wa Wathamini wa mwaka 2016 (The Valuation and Valuers Registration Bill, 2016)

(iii) Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wa Mwaka 2016
(The Government Chemist Labaratory Authority Bill, 2016).

(iv) Muswada wa Sheria yaUsimamizi wa Wanataaluma wa Kemia wa mwaka 2016 (The
Chemist Professionals Bill, 2016).

(v) Muswada wa Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo wa Mwaka 2016 (The Tanzania Agricultural Research Institute Bill, 2016).

(vi) Muswada wa Sheria yaTaasisi ya Utafiti wa Uvuvi wa Mwaka 2016 (TheTanzania Fiesheries Institute Bill, 2016)

Kwa wadau wa sekta husika mnaweza kufuatilia mijadala hiyo, ile ule muswada wa sheria wa ya kuufanya mji wa Dodoma kuwa makao makuu ya nchi haupo kwenye orodha hii.

Kwa taarifa zaidi ingia hapa: http://www.parliament.go.tz/uploads/documents/press_releases/en/1473078187-PRESS RELEASE MKUTANO WA BUNGE WA NNE.pdf

Asanteni.
 
Asante mkuu
Nauliza hii miswada ya wakemia pamoja GCLA naweza ipata wapi? Soft copy
 
Back
Top Bottom