Misuguano ya kisasa ina tija gani? Dhamira ya misuguano hiyo ni nini, hatuwezi kujenga kwa pamoja tukitofautiana kimawazo kwa Lengo la kuboresha? Inawezekana katika nchi moja kukawa na waliobora na makabwela?
Ni kosa kuzaliwa na uwezo mdogo kiufahamu na je uwezo huo mdogo unakuondolea haki yako ya kuheshimika? kusaidiwa? na ni kweli kuwa huna mchango kwa maendeleo ya taifa.