Mistubish rosa (bus)4d33

upeo

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
271
250
Wakuu habari zeni,naomba msaada wenu ,kuhusi hili basi langu,abalo lina tumia pump ya umeme tatizo lake ni kwamba
Ukiiwasha gari asubuhi na mapema inawaka vizuri tu,itafanya ruti zaka kama kawaida ila inapofika mchana ukiizima gari ,na ukiamua kiasha tena basi hapo haiwaki mpaka isukumwa .baada kama wiki moja au mbili huwa inakubali tatizo linaondoka ,lakini hujirudia rudia kila mara .wakuu tatizo hili linanitesa kweli nimejaribu kuuliza mafundi wengi wananiambia badilisha betri mara hiki mara kila hakuna lililokuwa yaani hasra kibao.na hili bus bado bichi kabisa,wakuu naombeni msaada wenu nini kifanyike ili tatizo hili liondoke asanteni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

upeo

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
271
250
Ndio mkuu nimejaribu kubadilisha betri lakini ni yale yale haikubali..mwenye ufahamu naomba msaada nipo dodoma risa bado mbichi kabisa na pia mwenye kujua fundi mzuri wa hapa dodoma..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom