Mistari ya wanywaji...

Mbona huo ukweli haupo mmeuweka kwenye alcohol
 
DRINK ALCOHOL TO SAVE WATER🙂 Japo haitatui tatizo inasaidia KULIAHIRISHA (hadi ukiwa sober tena)....
NB: Ni mawazo yangu; DONT TRY IT AT HOME!
 
kuna ukweli.......we ukibreak up kunywa mpaka ulewe,ukilala halafu ukaamka unakuta ushasahau kila kitu,hata ukikumbuka hakuna maumivu kama mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…