Mission impossible za PIMBI

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,577
Tujikumbushe kidogo zile harakati za PIMBI na madem ambazo hajawahi kufanikiwa hata siku moja

Siku moja kachukua wanawake wawili (mijimama) akaenda kawapiga pombe vibaya sana na yeye piga pombe mingi, akaenda kuchukua guest akapige three some, kufika ndani AKAZIMA, kuja kushtuka kesho saa tatu asubuhi wenzie wanavaa nguo wanajiandaa kuondoka.

Siku nyingine kamtokea msichana anauza maandazi, Dada akamuambia siwezi mama kaniachia maandazi, PIMBI akaamua kununua maandazi yote (kama 100 hivi) ili akapige mzigo, wakati wanaondoka mama MTU katokea akafurahi sana kukuta maandazi yameisha, akamuongezea maandazi mengine 100, PIMBI akabaki amezubaa na mfuko wa maandazi hana pa kuyapeleka.
 
Unakua unamkosea sana usipoanza Jina lake na "Doctor Love"
 
Kuna moja alikua akimuimbisha mdada wamesimama chini ya mnazi. Mdada kapigwa sound mpaka kakubali. Ile wanataka kutoka tu kwenda kumalizana nazi ikaanguka na kumgonga Pimbi kichwani akazimia,
Mdada akajua hiyo kesi tayari, akala kona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…