Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
Dah! Nimekumiss charminglady najua unasoma thread hii,yawezekana una Id nyingine kwakua ninavyokufahamu uwezi ukaa hata saa 1 bila kutinga Jf.Kiukweli napata shida sana nikaapo bila kukuona,sipati usingizi,kazi hazifanyiki yaan full kupagawa.Nimemisi vitu vingi kutoka kwako ikiwa ni pamoja na kunitusi,kuniponda,kunichukia,kuniombea mauti,hii yote ni kutaka kunipima kama nakupenda.Mi bado ninamapenzi ya dhati kwako hata St. Paka Mweusi anajua hili.Nilikupenda,ntakupenda,ntakupenda milele hata nisipokuona jf
Last edited by a moderator: