Missing you charminglady

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,404
920
Dah! Nimekumiss charminglady najua unasoma thread hii,yawezekana una Id nyingine kwakua ninavyokufahamu uwezi ukaa hata saa 1 bila kutinga Jf.Kiukweli napata shida sana nikaapo bila kukuona,sipati usingizi,kazi hazifanyiki yaan full kupagawa.Nimemisi vitu vingi kutoka kwako ikiwa ni pamoja na kunitusi,kuniponda,kunichukia,kuniombea mauti,hii yote ni kutaka kunipima kama nakupenda.Mi bado ninamapenzi ya dhati kwako hata St. Paka Mweusi anajua hili.Nilikupenda,ntakupenda,ntakupenda milele hata nisipokuona jf
 
Last edited by a moderator:

una ukoo na Young_Master mkuu wakati ndio sasa?? nways wish u the best! lol
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma thread hii imeniuma,ukizingatia mleta mada yupo ndani ya nondo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom