Missed connection: ''kaka, Samora Road ndo iko wapi?''


You got potential with the pen. If you're as good on the mic, then go get 'em, man.
 
You are right bro. Kuuza maneno mpk demu asaule bikkini is an art. It ain't easy unless demu awe ni for 'booty calls' and into 'quickies' kind of stuff.

Ata ivyo, my mind was centered kwenye inshu ya hela muda huo.
Na huo ndio uanaume wenyewe....mwanaume anafanya linalotakiwa kufanywa kwa wakati huo....na sio kuendea linalohitajika kufanywa kwa muda huo.......
 
Ifanye kama ndoto!
Sometimes dreams do come true!
 
Uko vizuri,ila kwa hayo maisha yako ulivyoyaelezea mjomba?
Mhhhhh labda iwe bahati yako tu.
 
Na huo ndio uanaume wenyewe....mwanaume anafanya linalotakiwa kufanywa kwa wakati huo....na sio kuendea linalohitajika kufanywa kwa muda huo.......


Word! Umenena kiume sana Mkuu. Always huwa nazielewa sana comments zako humu JF.

I highly pay homage to ya Mkuu. cheers...
 
Ifanye kama ndoto!
Sometimes dreams do come true!


In fast lane chasing for my dreams. Though a 'sometimes' can be an 'endless waiting'!

Ofkoz I really wish to meet her again. Lol
 
....hahahahahaha...najaribu kuupatia picha huo mkia wa mdada yupo posta anaj@mbia salenda bridge!
...we mkali,man!salute
 
Uko vizuri,ila kwa hayo maisha yako ulivyoyaelezea mjomba?
Mhhhhh labda iwe bahati yako tu.


dada Nifah umeona eeeh. Given the life background that I went through, kwakweli it ain't easy to break-even! Ngumu sana kutoboa unless uwe na kismati cha kuzaliwa ama uwe good in 'networking' with magwiji wa town. This is why I always trust in folks and hommies as I have realized some little achievements (though not tangible) via them.

Sisi ambao hatukubahatika 'kukalia vimbweta', the only plan B for us ni kukomaa na hustling za mtaa. We have no avenue ya kutusua through white colar careers.

Sisi kula yetu ni lazima ukosi uchafuke. Life goz'on anyway. We still balling until the end of time.
 
....hahahahahaha...najaribu kuupatia picha huo mkia wa mdada yupo posta anaj@mbia salenda bridge!
...we mkali,man!salute


Hahahaa Mkuu wacha kabsa. Siku izi mademu wote darisalama wana 'mikia' next levo, waweza egesha bilauri na ikakaa fureshi tu. Ila siku zote appetizer ni muhimu kuongeza hamu ya kula.
 
Dah ndo basi tena mkuu mtoa mada ushaharibu aiseeee

Pole yako
 
Kwa hiyo avatar zote za duniani hujaziona ukaona utumie ya kwangu? Kama ulitaka utumie ya Pac,kwani ana picha moja?Au ndo akili ya kuiga kila kitu?Jiongeze...
 
mbona huku mjanja hivi....?kule ulishindwa nn?
 
Nimechukua msemo "kukata Mpunga Kama Kyela"
 
duuuh pole aiseee kama ni huyo me nilisharusha voko zamani!!,, alikuja kwenye duka la simu nikamnunulia samsung kali brand new kwa pesa yangu nikamwambia asijali hiyo hela yake akaweke vocha tu aise mtoto mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…