KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,886
- 40,068
Kuandika maneno mengi humu kingine....na kumtongoza mtoto wa kike mpaka akuvulie bikini ni kitu kingine.....
IT TAKES COURAGE TO ACT.....
Kaveli ni muhuni ila unajua sana kiingereza,salute!
.....kumbukeni licha ya jamaa kuwa alikuwa katika kufuatilia pesa/kazi/mchongo lakini hakuwa na hela chai yenyewe kakopa kwa mama ntilie ninyi mnataka eti angelianzisha palepale wakati hata hela ya maji ya azam hana!!!#kaveli ulifanya vema kazi pesa kwanza
Ghetto story telling at it's very best. Ikiandikiwa kwenye track, Lost boyz would be proud.
Pale unaposoma story zen unatamani isiishe..Btw hope to see her again..This time usifanye makosa
Lipa kodi ya nyumba usije sahau... Mama ntilie kamlipe pia. But story yako kipaji tosha umeipanga in high definition.
Kwa style hii ya vichochoro na kutembea kwa mguu atabaki kuwaita watoto wa posta shemejiiiiiii