Missed connection: ''kaka, Samora Road ndo iko wapi?''

We mtoto wa mjini mzima umeshindwa vipi kumwambia njoo nikupeleke halafu umalize mambo?

Mkuu wangu Kiranga, kwakweli kwa uzembe nilofanya leo, nastahiri bakora! Ila kichwa kilikuwa kimejam that time Mkuu.

Sikucheza kama Pele, ona sasa ninahamaki !
 
[URL][URL][URL][URL] [URL] [/URL][/URL][/URL][/URL][/URL]
Story yako umeipangilia vyema, kukukumbusha ni Samora AVENUE na si Samora Road
 
Hahahah kakake me lugha yako tu ya kitaa, wa mjini mnasemaga "so amazing". Kama nakuona utakavyomuota sista duu leo hahah

Hahahaa dada'ake kwakweli leo nimefanya uzembe wa hali ya juu. Yani pale kitanzi kishajiset chenyewweeee, kazi yangu ilibakia ni kubetua stuli tu then ngoma inogile.

Afu mtoto anatembea mwendo Fulani ivi amazing utadhani ardhi ina spring. Mwendo wa shilingi. Daaah nimejikosesha vinono dada'ake.

Wamakonde husema 'nimembwela'. Wamjini tunasema 'Nimepaka rangi'. lol
 
[URL="http://[URL][URL][URL] [URL] "][URL][URL][URL] [URL] [/URL][/URL][/URL][/URL][/URL]

Story yako umeipangilia vyema, kukukumbusha ni Samora AVENUE na si Samora Road

Na ndo maana nimesema kuwa yule mrembo anaonekana kabsa ni foreigner apa town. Sababu kuu mbili: alivyoitamka hiyo Samora 'Road' badala ya Samora 'Avenue'. Pili muonekano na haiba yake, yani kwa 'experience' yangu yule diva anaonekana bado ana 'kamba mguuni'.

By the way, Samora Road na Samora AVENUE nadhani yana same meaning tu. In Swahili ni Barabara ya Samora, au Mtaa wa Samora.

Mfano ile Sokoine DRIVE, mtu akiitamka kuwa ni Sokoine Road, utamkosoa??
 
Hahaa yan we ndo unaniuliza hivyo kweli?

hahahaa basi mama, nishakumbuka. Njoo chumbani tuyamalze. Wapendanao hawaachani, bali huenda 'half time' tu then wanarudi mzigoni.
 
Hahaha mwendo wa shilling ndo wa aje?, binti kakupigia catwalks hadi mtu umedata loooh. Kweli umepaka rangi leo, thanks kwa misamiati mipya lol
 
hahahaa basi mama, nishakumbuka. Njoo chumbani tuyamalze. Wapendanao hawaachani, bali huenda 'half time' tu then wanarudi mzigoni.
Khaaa siji aisee hadi umsahau huyu uliyemuona leo...habari ya kuwa na mimi af unavutia picha ya mwingine sitaki
 
Hamjagundua tatizo? Alikuwa na buku asubuhi wakati anaamka, chai kabomu, jero katoa nauli, sasa si tayari ni uhanithi atampeleka wapi mrembo?

Sasa hivi ishu iliyompeleka taun ishalipa sasa kidume kimedinda wakati mrembo hayupo. Just thinkin' loud
 
Hahahaa kwa hiyo pale nguvu za kiume zilikuwa likizo???
 
Hapana mama, usinifanyie ivyo. kumbuka nishakula yamini with you. Wewe ndo nyumba kubwa, nyumba ndogo hainitoshi na isikutie presha. Njoo chumbani nikunong'oneze neno tamuuuu!
 
Hamjagundua tatizo? Alikuwa na buku asubuhi wakati anaamka, chai kabomu, jero katoa nauli, sasa si tayari ni uhanithi atampeleka wapi mrembo?

Sasa hivi ishu iliyompeleka taun ishalipa sasa kidume kimedinda wakati mrembo hayupo. Just thinkin' loud

hahahaha mkuu bowlibo, umenichekesha sana kwa wording yako kaka. Hakika you are in the 'loud' line of thinking. nimecheka sana mkuu
 
Hahahaa kwa hiyo pale nguvu za kiume zilikuwa likizo???

uyo mdau kanichekesha sana iyo comment yake. Mifuko imetoboka plus njaa, hapo ''pembe la ng'ombe'' lazima lifichike aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…