Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Kwanza kuingia kwenye competition lazima mtu atoe 15k maana sio kwa nyuzi hiziWashindane kwa vibunda tu mkuu!π
Kabisa!Kwanza kuingia kwenye competition lazima mtu atoe 15k maana sio kwa nyuzi hizi
Tushavuka huko sie, tumewaachia gen z wachachafyane!
Hutaki kabisa kuamini mkuu, sio?Sio kweli. π
Hutaki kabisa kuamini mkuu, sio?
Amini tu! πSiamini! π
π€π
Aura ni nini mkuuAna Aura kali Seran
Nishati/mwangaza/hali yakipekee ya mtuAura ni nini mkuu
Hahahahaaaaa .......just relax utaongea na ambayo niya siri mkuu.Seran ananyea mbali acheni tu jamani Mungu ni fundi haswa
Basi tumtukuze Mungu kwa kumuumba na sifa hizo za kipekee seranNishati/mwangaza/hali yakipekee ya mtu
Yeap ni karama yakeBasi tumtukuze Mungu kwa kumuumba na sifa hizo za kipekee seran