Miss tourism

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,276
MISS UTALI TOURISM TANZANIA 208, NATIONAL FINAL CONTESTANTS (WATOTO WA MUZEE PAPAA CHIPUNGAELO.











 
Ndugu,

Kumbe bado udhalilishaji unaendelea, mko wapi wapinga udhalilishaji? Hebu jitokeze, simama mbele ya watu na kusema HAPANA kwa watoto wetu wa kike
 
Ndugu,

Kumbe bado udhalilishaji unaendelea, mko wapi wapinga udhalilishaji? Hebu jitokeze, simama mbele ya watu na kusema HAPANA kwa watoto wetu wa kike


mkuu mbona wana miaka zaidi ya 18 ? hao sio watoto tena.
 
hmm labda macho yangu sijuii ndo hayajaona au😱hwell:
 
KAMA MAPENZI NI PESA , FUNGA NDOA NA BENKI.

Hii signature yako mmmmmmmmmmh! kwani benki ni mtu? Ataweza kutimiza mambo yote ya ndoa?
 
KAMA MAPENZI NI PESA , FUNGA NDOA NA BENKI.

Hii signature yako mmmmmmmmmmh! kwani benki ni mtu?Ataweza kutimiza mambo yote ya ndoa?


we ujui ? pesa ni mtu ndio maana madem wanachachawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…