MISS Tanzania: Kamati ya kuratibu mashindano ya Miss Tanzania yatangaza kujitoa

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
c5b900a0-748b-4c96-8711-1548fef8ab18.jpg



Kamati ya kuratibu mashindano ya ulimbwende maarufu kama Miss Tanzania, inayoongozwa na Mwenyekiti wake Ndg. Juma Pinto imetangaza leo Jijini Dar, kuwa inajitoa kwenye zoezi la kuaanda shindano la Miss Tanzania.

Habari kamili inawajia...
 
View attachment 318515


Kamati ya kuratibu mashindano ya ulimbwende maarufu kama Miss Tanzania, inayoongozwa na Mwenyekiti wake Ndg. Juma Pinto imetangaza leo Jijini Dar, kuwa inajitoa kwenye zoezi la kuaanda shindano la Miss Tanzania.

Habari kamili inawajia...


Huenda kuna watu wanamshindi mfukoni tayari!! Tanzania!!
 
Ukiona hivyo ujue ile mianya yao ya kujipatia pesa kwa njia ya Ngada imefungwa,maana huyu Pinto mmmhhhh...ll
 
miss Tanzania hakuna mdhamini atayeweka hela yake...toka seke seke la sitti mtemvu..

huu mwaka wa mabadiliko lundenga lazima aisome namba..

watanzania wameshachoka na raisi ndio amechoka zaidi longo longo... so hakuna atakaepona
 
Sababu ni Lundenga, alipewa masharti mengi baada ya sekeseke la Siti, na ili ifunguliwe mashindano baada ya kufungwa alitakiwa awe na kamati ya kuratibu hayo mashindano na si kuyaratibu mwenyewe na kampuni yake ya LINO AGENCY, ndipo akatua kamati hii iliyojiuzulu, kwa kuwa kamati imekuwa hewa tu Lundenga anaendelea kufanya mambo na kampuni yake wanakamati wamekuwa wa kupewa taarifa tu, wamebwaga manyanga .
 
Back
Top Bottom