Miss Tanzania achukua Jeep lake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miss Tanzania achukua Jeep lake

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Dec 16, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,608
  Trophy Points: 280
  [h=3]Miss Tanzania achukua Jeep lake[/h]

  [​IMG]
  Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom, Rukia Mtingwa (wa pili kulia) akimkabidhi Miss Tanzania 2011, Salha Israel (wa pili kushoto) funguo za gari lake la zawadi aina ya Jeep, lililotolewa na kampuni hiyo Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashim Lundenga na Meneja Mauzo wa DT Dobie, Alfred Minja.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,608
  Trophy Points: 280
  I wish her a merry X-Mas.....................................and a fabulous new year.........................she deserve it, or doesn't she?
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  haaaaaya sasa vijana wa mujini mnaopenda vya bure mtto keshachukua ndinga kilichobaki ni kuroll tu
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo alikuwa bado hajapewa au..
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  lilikuwa linatengenezewa hapo nyumbu nini??
   
 6. k

  kinyongarangi Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mpaka ameshatolewa miss world ndo anapewa.mimi naona angenyimwa tu maana ameshashindwa!!!!. ataishiwa kuwa kama wema na jokarte tu. Vijana wa mjini wakae mkao wa kula
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  unaonaaaa sasa RUKIA MTINGWA anafanya kazi yake baada ya kuporwa na MWAMVITA MAKAMBA kwa muda mrefu, dietlof keshasepa, RENNEE MEZZA karudisha weledi voda.
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Zawadi nyingine ni mzigo tu.
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  soon tutaikuta kona bar
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sijui kama ataitunza.
   
 11. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kina ndama Mutoto ya Ng'ombe wapo kwa ajili kupunguza huo mzigo - Mafuta Full Tank kila weekend. Ili mradi anatoa kipochi manyoya. Ok, bye!
   
 12. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sawa zawadi nzuri ila hawa jamaa huwa wanaangalia kwanza maisha halisi ya washiriki kwanza.
  maaana utunzaji wa hili gari garama yake ni kubwa
   
 13. driller

  driller JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  usishangae..! si unakumbuka ile ya nyumba...? hahaaa wabongo ni balaaa aseee.>!
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Wadhamini wanampatia alloawance kila mwezi kwa mwaka mmoja.......baada hapo anaruhusiwa kuliuza akaendelea na maisha yake!hakuna shida hapo alitunze tu kwa mwaka huu baada hapo ataliuza!!kwanza nasikia vodacom wametema udhamini wa miss tz!kina Lundenga watafute wadhamini wengine sasa!labda Tigo au airtel sasa kazi kwao kupata deal hilo!!
   
Loading...