Miss Tanzania 2019 vs Miss Rwanda 2019

Miss Tanzania 2019 vs Miss Rwanda 2019

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
517
Reaction score
524
Miss Tanzania 2019 / Miss Rwanda 2019
IMG_20200219_110411.jpg
IMG_20200219_110416.jpg
 
Hivi Lundenga bado yupo yule mzee? Maana hizi ndio chakula zake ili washinde lazima awapenyeshee mjulubeng.
 
Mimi nimeona gap la urembo kubwa sana kati ya miss wetu na huyo miss rwanda..

Ndio maana huko miss world tunakuwaga wasindikizaji tu.. kama miss rwanda tu anatuzidi uzuri kweli tutaweza shindana na miss venezuela, brazil, mexico au india walivyo na watoto wazuri
 
Back
Top Bottom