Miss Saudi Arabia

Miss Saudi Arabia

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
a50dbb1082aa035708b9ddde3372ba29
 
Zamani Saudia ukishinda umiss ulikua unapewa zawadi ya ama kuolewa au kua moja ya wana familia ya mfalme, moja kati ya maswali yanayoulizwa hapo ni pamoja na mambo yahusuyo utawala wa Saud Arabia, mambo na tamaduni, Malezi ya watoto wadogo na malezi na staha ya mwanamke ndani ya ndoa, jumla ya maswali hutolewa na kujibiwa katka ngazi mbalimbali hadi kufika ngazi ya taifa na mshindi hupatikana kwa kuhesabu jumla ya maksi alizopata na ambazo huhesabiwa na majaji.
 
WooW !! hao ni warembo , kwa wale wenye kujua urembo.... Ona urefu, ona sura, ona macho !!:A S crown-1:
 
Back
Top Bottom