Tena hapo ana mood ya kazi , huwa na simu ya mezani anaondoa mkono kabisa anaweka chini asisumbuliwe!!!!
Hiyo style ya nywele ndo inaitwaje miss neddy?
Hiyo style ya nywele ndo inaitwaje miss neddy?
Mt.kilimanjaro
Jicho la mke mwenza.
Hahahaaaaa! Umembamba
Duh ugonjwa wangu Nywele tu...!!!!
mmmmmmmnmh umedatishwa na nini hapo kuna vingiNashusha pumzi nahema, mwana wa kahena....nimekufa kimahabaaaaa
mmmmmmmnmh umedatishwa na nini hapo kuna vingi
Kazi inafanyika kweli hapa?
siri yangu......