Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
TATIZO MKUU WENGI HUMU WATOTO WADOGO MKUU .WAMEKREM MAISHA.BAHATI NZURI NAJUANA LIVE NA BAADHI YA WATU HUMU WANANIJUA JINSI NILIVO . HUMU HAKUNA UHALISIA WOWOTE ULEHauko sahihi!
humu watu wengi hawaishi uhalisia!
mara nyingi katika social media watu wanaweza kujiachia labda kwa jokes au kuelezea hisia zao bila ya vidhibiti, lakini unaweza kushangaa ukikutana naye ni mtu very descent!
jukwaa kama hili often watu huwa wanataka ku-relax, wanajiachia na hawana haja ya kufikiri wanapoandika kama wanafanya pepa la namba!
chukulia hata matusi, kebehi na maneno ya kijeuri unayoyaona humu kuwa ni sehemu ya socialization isiyokuwa na uhalisia!
kiufupi humu JF ni kama kufumania utupu wa akili za watu.... yaani akili zetu hatuziveshi nguo kwa kuwa tunahisi hatujulikani...!
hata wewe, Akili yako ya hapa (JF) sio sawa na akili ya physical wewe, kwa wanaokufahamu...!
Meli haibebwi na pickupSimama imara mtoto anaondoka huyu.
Miss natafuta mtu fresh sana!Najaribu kutafakari jibu atakalokuja nalo kwa hii kashfa
Meli haibebwi na pickup[/QUOTEupo baby wangu naona wanga wengi
kwani nimekosea wapi mkuu?Acheni kumchokoza mdada wa wa2,binafsi huwa napenda sana uandshi na utani wa Miss natafuta a.k.a mamaaaaaaaa wa mitongozo.Kumbukeni kila mwanadam yupo Duniani kwa kusud la Mungu na cyo kwa kusudi la mwanadam na hatuwez ku-behave the same
Huyu dada yangu naye anaweza kuwa topic,
Mara zote bosslady huyu amelalamika kuwa anahitaji kugegedwa...!
mara kadhaa amekuja na hoja ya kutamani muhogo, ingawa nahisi hajawahi kuwinda mtu live humu JF!
Hiyo hamu ya kugegedwa inaweza kujieleza kwenye avatar yake, hasa hii mpya!
Nilipoiona nikaanza kuhisi je, nye*ge zimempanda kichwani...?
Madaktari hebu semeni kuna uwezekano wa nye*ge kupanda kichwani na kumuathiri mtu....!
cc Miss Natafuta
Mpe atakachoANANITAKA EEH
Umenikumbusha kauli ya Membe kuhusu mapinduzi ya Libya, Nchi haipinduliwi kwa pick up.Meli haibebwi na pickup
Ok!Ngoja tumsubir.Bado anaangalia kipindi cha dak.45 ITVMiss natafuta mtu fresh sana!
she is funny girl/woman, sidhani kama atakuja na machungu, atakuja na kituko tu!
umeona enhee...!!!Mpe atakacho
Mimi JF nina njiwa mmoja tu mkuu,na ni huyu alieanzishiwa uzi hapa!!....kwani umewahi kuniona nikiwa natongoza mtu mwingine mkuu!![emoji30] [emoji30] [emoji30]Nawe ni zoa zoa daby typ......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anamcheki Rungwe sio!Ok!Ngoja tumsubir.Bado anaangalia kipindi cha dak.45 ITV
Yeah!Anamcheki Rungwe sio!
Kasie, paprika, joanah nkMimi JF nina njiwa mmoja tu mkuu,na ni huyu alieanzishiwa uzi hapa!!....kwani umewahi kuniona nikiwa natongoza mtu mwingine mkuu!![emoji30] [emoji30] [emoji30]
hili lidada libaya namna hii nashangaa watu wanalitamani nikiweka picha yangu ya uchi hapa si server ya jf itazima?
daby ni mali ya umma mkuu hisa zake zipo sokoni kama vodacom.kila mtu ananunuaNawe ni zoa zoa daby typ......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu tuone kidogo mkuuhili lidada libaya namna hii nashangaa watu wanalitamani nikiweka picha yangu ya uchi hapa si server ya jf itazima?