Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Heheeeeee,nenda mpwa...Fursa zipo nyingi kle,kuna madini,uvuvi,kilimo n.k...ushindwe wewe tu....Hope utakuwa shemeji yetu wa ukweli sasanaenda mwanza kuangalia fursa za uwekezaji nikipata nafasi naweza kuwatembelea walimbwende kambini kwao......je wapo hotel gani?
nina wasi wasi watu kama nyani ngabu wataitumia hii picha ndivyo sivyo kujiridhisha....
Hello naitwa Judith niko UK, naombeni mnipokee kwani nimejifunza mambo mengi sana hapa kwa mda mfupi sana
Shurani sana
Judith
Hello naitwa Judith niko UK, naombeni mnipokee kwani nimejifunza mambo mengi sana hapa kwa mda mfupi sana
Shurani sana
Judith
Mbona hawa sii bomba kama wale wa Kinondoni?
Mkuu nimekosea wapi kwani? nasifia uumbaji wa Mungu.....Mungu kasema tupendane nami nawapenda nyoote including hawa mamiss hasa huyo miss mwanza Miriam Gerard......mkuu next level upo mwanza?
mie sio mharibifu ni muwekezaji mzuri.....sijaribu mazingira.....huwezi linganisha yale magobole ya temeke,ilala na kinondoni kwa hawa mashori wa sukuma land?..weka thanks kwenye posts zangu?Aisee nikija kukuta Shinyanga au Mwanza nitakufurumusha. Hatutaki waharibifu kama wewe uwaharibu ma cinderella wetu.
nipo mkubwaaaah nataka nijuwe taratibu za kuwa jaji wa miss tanzania......
Thanks God liyumba yuko sero......kuna mwana JF yeyote yuko mwanza? ani PM tafadhali
Judith si ungesafiri kimyakimya basi!