Miss Kanda ya ziwa 2009

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,738
Kwa hishma na taadhima naomba wana JF niweke sura za walimbwende wakali wanaowania miss kanda ya ziwa.....

Amina adam mwanza

edna clement shy town

edna clement shy town majina sawa?

grace francis mwanza

glory innocence

lisa george shinyanga

Miriam gerad mwanza....mhh

mary joseph mara

mariam mwita mara

sabina budodi mara

witness justin kagera

ubarikiwe saaaana aliepiga these pics na dada florah wa FLORAH TALENT PROMOTION : flauwo@yahoo.com Mungu awazidishie..
 
Attachments

  • ad.JPG
    8.5 KB · Views: 1,586
  • ec.JPG
    8.1 KB · Views: 1,526
  • ed.JPG
    5.8 KB · Views: 1,538
  • gf.JPG
    7.5 KB · Views: 1,537
  • gi.JPG
    8.6 KB · Views: 1,501
  • sb.JPG
    7.8 KB · Views: 1,475
  • mm.JPG
    7.2 KB · Views: 1,462
  • mj.JPG
    15.3 KB · Views: 1,499
  • mg.JPG
    8.6 KB · Views: 1,550
  • lg.JPG
    8.4 KB · Views: 1,482
  • wj.JPG
    10 KB · Views: 1,462
Kura yangi ni kwa huyo wa kwanza...anaitwa amina adam nadhani....ila kwa mambo yetu yale.....kuna huyo miriam...sidhani kama mapedegee watamwacha....
 
Huyo wa bukoba na Mara ohh Have mercy....Jamani leo wahaya wameshidwa changua vitu katika vitu?Basi huyo hata ten bora hakuna...inafanyika lini hiyo.
 
Huyo wa bukoba na Mara ohh Have mercy....Jamani leo wahaya wameshidwa changua vitu katika vitu?Basi huyo hata ten bora hakuna...inafanyika lini hiyo.

hahahaa mkuu nadhani wale 'wenyewe' wapo darisalama!
 
Acha bana ilala bana ndo kuna vitu nimeona hapa bado.
 
aaah nataka nijuwe taratibu za kuwa jaji wa miss tanzania......

Thanks God liyumba yuko sero......kuna mwana JF yeyote yuko mwanza? ani PM tafadhali
 
Attachments

  • IMG_0925.jpg
    98.8 KB · Views: 3,409
aaah nataka nijuwe taratibu za kuwa jaji wa miss tanzania......

Thanks God liyumba yuko sero......kuna mwana JF yeyote yuko mwanza? ani PM tafadhali

Papaaa Yo Yo .....wewe si ulikata shauri na kumgeukia sir God juzijuzi hapa? vipi tena bana......? uzalendo umekushinda eeehhh!
 
Papaaa Yo Yo .....wewe si ulikata shauri na kumgeukia sir God juzijuzi hapa? vipi tena bana......? uzalendo umekushinda eeehhh!
Mkuu nimekosea wapi kwani? nasifia uumbaji wa Mungu.....Mungu kasema tupendane nami nawapenda nyoote including hawa mamiss hasa huyo miss mwanza Miriam Gerard......mkuu next level upo mwanza?
 
Kumbe huyu ndo alishinda Miss Mwanza mwaka huu....no wonder. Picha kwa hisani ya dada Flora Lauwo
 
Hapana mkuu Yoyo..lakini shindano ni tarehe 7/8, wahi tiketi mapema!
 
Hapana mkuu Yoyo..lakini shindano ni tarehe 7/8, wahi tiketi mapema!
na hawa mamiss wameweka kambi hotel gani? nataka kutoa zawadi personally kama Yo Yo wa JF kwa mshirika mwenye kipaji.....
 
Dah..kumbe na sisi kanda ya ziwa hatuvumi lakini tumo....lol...hope hawa wataendeleza yale mafanikio ya Nasreem
 
Mkuu nimekosea wapi kwani? nasifia uumbaji wa Mungu.....Mungu kasema tupendane nami nawapenda nyoote including hawa mamiss hasa huyo miss mwanza Miriam Gerard......mkuu next level upo mwanza?
Hapana hujakosea mpwa,sema tatizo jamaa anafikiri ukiokoka hairuhusiwi kumsifia Muumba kwa kazi nzuri aliyoifanya,bora wewe umekuwa muwazi kwa kumtukuza Muumba hadharani kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwatengeneza wanyange hawa...watoto ni wazuri si haba...Asante kwa picha mpwa
 
aaah nataka nijuwe taratibu za kuwa jaji wa miss tanzania......

Thanks God liyumba yuko sero......kuna mwana JF yeyote yuko mwanza? ani PM tafadhali
Sifa na pongezi zote zimuendee Muumba kwa kazi nzuri aliyoifanya jamani
 
Sifa na pongezi zote zimuendee Muumba kwa kazi nzuri aliyoifanya jamani
naenda mwanza kuangalia fursa za uwekezaji nikipata nafasi naweza kuwatembelea walimbwende kambini kwao......je wapo hotel gani?

nina wasi wasi watu kama nyani ngabu wataitumia hii picha ndivyo sivyo kujiridhisha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…