Miss Ilala 2009

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
M

MegaPyne

Guest
Washiriki.....


Evelyne Gamassa


Anne Mosses (19)


Pendo Lema (22)


Glory William (21)


Slyvia Shally (19)


Julieth William (19)


Khadija Muhecha (22)


Nyamizi Lilian Mihayo (20)


Neema Silvery (18)


Gladness Shao (19)



Winifrida Phares (19)


Magreth Peter (21)


Husna Omary (21)


Doris Jimmy (18)


Zena Rashidy (22)


Irene Karugaba (19)


Fatma Bongi (18)


Picha kwa hisani ya MichuziJR
 

Tatu bora ya Miss Ukonga ndani ya Miss Ilala 2009


Tano bora ya Miss Mzizima ndani ya Miss Ilala


Miss Tabata ndani ya Miss Ilala 2009


Tano bora ya Miss Dar City Center ndani ya Miss Ilala



Hapa wakisema cheers



Walimbwende wa Miss Ilala wakiwa wamepozi





 


haki ya Mungu na mtume, hapo nimeweka nanga. hebu cheki pozi na mitego. huyu ni miss TZ-successor
 
wengine mbona ka walishaachika!!!!!
tunadanganya umri ka wachezaji wa ulaya
 
wamekomaa sana

wengi wamewahi kunyofoa uja.........to
 
Mzuka umenipanda walai tena, haya madini ni ndani ya himaya hii ya Jk?
 


haki ya Mungu na mtume, hapo nimeweka nanga. hebu cheki pozi na mitego. huyu ni miss TZ-successor

Duuu! Naona Macho ya wengi yamemuona Mdada Sylvia Frank Shally....Usiku wa kuamkia leo amechaguliwa kuwa Miss Ilala 2009 na Miss Issa Michuzi Photogenic 2009 na amejinyakulia kitita cha Tshs 500,000/= Kila la Kheri Miss Ilala katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania.
 
nilisema mimi hiki kifaa ni balaa,
kwa kuwa niko mbali tu adhawaizi..........!
 
Hivi ndo kusema huyu mrembo kapewa zawadi gani mbona haipo wazi sana?
 
Amepewa kiktita cha shilingi laki tano?


Hapo ndo sitaki KUAMINI, with all this fame? si ndio official miss ilala huyu? mbona vitongojini huko wana zawadi kubwa zaidi ya hii? nadhani hii itakuwa ni ya Michuzi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…