@alllien hivi huwa unavaa chupi ya chuma ama??
manake kuna moja umetupa kule juu, nilibaki najiuliza hivi huyu mtu chupi yake ni hizi za nguo ama za chuma??
kila la heri mkuu ila na HIV wako na mvuto huo huo?? na hata sasa wanatukeshesha maaabara kutafuta dawa za kumtibu na mbaya zaid uzuri wake umezidi unawapa watu mihela ya nguvu.