MISS CHICHAT DECEMBE 2012:Hatua ya kwanza,pendekeza/tupia jina nani kuwania taji

Ruhazwe mimi sitaki tena kushiriki shindano lako!!!!!!!!! Mwezi uliopita imenitoshaaaa!!!!!!! Nawaachia wengine nao wakukuruke! Ulidai wataka kuliboreha mbona hujaborehsa chochote?

Mi hata wakininominate Usiniweke, chansi hilo wape wengine walitumie ipasavyo!

mi sina maamuzi,wanakupendekeza na wataamua kwenye kura,ukipendekezwa mi sina jins lazma niwatendee haki wana-cc
 
Hii uswahilini kwetu wanaita ch*moa nij*mbe...

Umenimisiii eeeeeh! We endelea kubeep Ikulu si Unanijua sikukawizi, na nitakupa KUBWA kama ya siku ile!!!!!!!!! Wa moja wa moja tu kamwe havai mbili!!!!!1
 
mi sina maamuzi,wanakupendekeza na wataamua kwenye kura,ukipendekezwa mi sina jins lazma niwatendee haki wana-cc

Sasa hapo ndo unakosea!!!!!!!!! Mtu lazima awe willing na kuonesha ushirikiano. Hivo mtu anapendekezwa anakuwa PASSIVE!!!!!!!! Kwanini mtu abembelezwe na kulazimishwa wakati hiyo nafasi wengine wanaitaka! Ruhazwe banaaaaaaa! Ifike mahali uwe kama Ludenga!!!!!!!!
 
nnooo! fikiri kwa sasa tupo kwenye hatua ya kupendekeza majina,member wanapendekeza washiriki wawatakao,mimi sina ubavu wa kuwazuia wasikupendekeze.... lara 1 emu umekuaje mbona huko nyuma hukua hivyo
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru @figganiga
na charminglady na wengine kama wapo sijawataja maana sijasoma comments zote kwa kunipendekeza imenifanya nijisikie vizuri ila kwa kipindi hiki hata kucampaign sitoweza yaani nina uchungu vibaya sana ninamsiba wa mamangu mkubwa alienilea utotoni
so naomba nijitoe kwenye shindano ila la january inshallah nitashiriki na kuibuka mshindi
usiku mwema
 
Last edited by a moderator:
Bado tu huo mtoano ?
Mbona mwaka umefika ukingoni so kama mmeshindwa kazi kamati ya harusi ivunjwe faster
 
Back
Top Bottom