Miss Chagga Umependeza Sana

Sasa hivi fanya kazi ila baadae hom nataka maelezo aisee



Good swty!

Niandae Na Doti ya kitenge? Maana kesi ikiwa ngumu zawadi ya kitenge itamaliza shida!

Miss u swty
 
ni kweli wifi tumefiwa wenzio yaani alhamisi ndo maziko
na leo imenibidi nitoe stress za msiba hapa ili baadaye
ningiie tena kilioni si unajua tumeondokewa na
kipenzi chetu yaani wewe acha tu wifi , binamu yangu
yu hoi yaani aamini macho yake, ninafanya kazi ya kufariji hapa
nadanganyaga tu mume wangu kafiwa
 
hivi wewe :A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:

itabidi utoe maelezo umeshindwa kuja msibani kisa KAKANTWE
wakati unajua umekula hela za tshirt za kuvaa msibani

UTANIELEZA!!!!
labda kama mm ni binamu yake na Mr Rocky

UTARUDISHA HELA ZOTE NILIZOKUPA kwani mm naonekana
vibaya hapa msibani
Mmmh! Ngoja nkufanyie booking ya hotel Ktk mbuga ZA wanyama swty! Unataka twende wapi tukapumzike?
 
Last edited by a moderator:
Ki ukweli wifi ni huzuni sana
 

Aisee aiseee.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…