Wewe Bulldog nani amekupa ruhusa kuweka picha ya my sweatheart wangu?
mpaka nione mguu ndo nitacoment ya moyoni
mguu wangu mwembaba kama fito
Unatutosha wenyewe WATUACHE
Shosti natania tu usije nipiga jiwe nikiwa kwenye meridiani pale mtoni. Si unajua miezi mitano imebaki krismasi ifike?mguu wangu mwembaba kama fito
Vipi mekuu?Unatutosha wenyewe WATUACHE
Shosti natania tu usije nipiga jiwe nikiwa kwenye meridiani pale mtoni. Si unajua miezi mitano imebaki krismasi ifike?
Huyu miss chagga kama picha ya 2 anaoneshwa hivi ila zimetofautiana au huwa anabadilika kama kinyonga?
wewe ongea tu utajuta mkuu
jamni shosti si unaona nimeapolojaizi kiana hapo? si unajua nataka nilete mahari pale jirani? angalia usinipige faini ya mbuzi maana hamkawii kunoa mapanga na visu.wewe ongea tu utajuta mkuu
Mbona ukaribishi na wengine
Miss chagga?
jamni shosti si unaona nimeapolojaizi kiana hapo? si unajua nataka nilete mahari pale jirani? angalia usinipige faini ya mbuzi maana hamkawii kunoa mapanga na visu.
Haaaaaaaaa!!!!!! Shosti una paua ule mjengo nini? mbona hiyo faini hata kimila haipo?nimekusamehe kidogo ila ukitaka nikusamehe kabisa nipe milioni 6
Haaaaaaaaa!!!!!! Shosti una paua ule mjengo nini? mbona hiyo faini hata kimila haipo?